Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
😁😁😁Nyie andikeni memes Kwa kutumia picha zangu mi soon naaga ubachelor
Yaani nilipoona tuu hi meme nikakumbuka chap jina lako mkuu😁😁😁Nyie andikeni memes Kwa kutumia picha zangu mi soon naaga ubachelor
Namkubali sana Man Ringo bin SabufaYaani nilipoona tuu hi meme nikakumbuka chap jina lako mkuu
Ahahahaha daaah ni hatareee sna
Na pacha wako kashaoa tayari mkuu...Namkubali sana Man Ringo bin Sabufa
Ndoa iz not for everyoneNa pacha wako kashaoa tayari mkuu...
Naona kina tin na mwenzake masantula sijui wanafeli wapi ahahah