Kiuno kama kimesagwa na greda. Mbavu nazo kama nimeponyoka kutoka kwenye kubananishwa na chatu. Mwili wote hoi yaani dah! Shida yote hiyo ya nini kamanda? Suluhisho ni hivi vipotabo. Tena upate ambako kamejitunza hakajaburuzwa sana dah! Hata milioni kumi ukiambiwa utoe mahari unaahidi tu yaani. Halafu kumbe nilichelewa kuhamia. I regret it!

View attachment 3028603
[/QUOTE]
Aisee siku zinaenda kasi mno kamanda 😤😤😤
Ama kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Acha kamba ndugu yangu. Habari nilizonazo ni kwamba hata hapa hapa tulipo bado unaburuza mitulinga tena ile gredi wani kabisa. Labda miaka 10 huko mbele ya safari ndo utaanza kusalimu amri. Wanasemaga vunja mifupa wakati meno ingaliko! 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️