Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Kukagua simu ya mumeo ni dalili kwamba humuamini.Lazima nikague simu, simu yangu ni yake, yake ni yangu
Sikagui ila naishika msg ikiingia nasomaKukagua simu ya mumeo ni dalili kwamba humuamini.
Unayemuamini hutashughilika naye.
Kuchapiwa hakuepukiki🤣Kwa Mama E atachemsha tena asubuhi tu na mapema. Wala sina wasiwasi mimi 🚮
Kuna saa nawaza ukombozi wetu kwenye nchii utatoka kanda ya ziwa , ikizingatiwa mwalimu nae alitoka kanda hio hio.