Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,515
Ni upendo wa dhati
Ni upendo wa dhati
🚶🚶🚶🚶🚶Nisimcheke kwa kweli, maana mimi mwenyewe ni miongini mwa wahanga!
Na akijijua ana tako kila saa anaenda mbele kucheza apate attention ya ukumbi mzima, wanatunyanyasa vimbaumbau tusio na mizigo.View attachment 3007032
1. Uzito wa nyoya....
2. Made in Tabora....
3. Tukunyema...
4. 4×4×4×far....
5. Zigo
6. Tafuta jibu, hapo ni kanisani au kitchen party au tamasha la wamama au kwaya au...
7. Wanaume muelewe, hii mizigo hamuishangai pekeyenu tuu, hata wenyewe kwa wenyewe huwa tunaishangaa na kuikodolea macho inavyorindima au kurindimishwa na wenyenayo....😅😅😅
Angalia hao wadada wa nyuma ....😁😁😁 macho kodo.
Kweli kuna daraja kubwa tumewacha hawa jamaa
Msimu ujao tutawatesa tenaKweli kuna daraja kubwa tumewacha hawa jamaa