Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,201
- 37,403
[emoji1787][emoji1787]mkuu umenikumbusha hapo napokaa kuna msichana mmoja kuna siku nilikuta amefua nguo zake kamba nzima kwa kweli nilishangaa sana. Ni vikamba kamba tu, vyupi vya net na vinguo vidogo vidogo kama vya watoto, nilibaki nacheka tu!!hahaha wewe hujakutana na wale wa kukaa zile chupi zenye vikamba vinapita kwenye mfereji wa matako
Shida ya vijana wanaopenda miseleleko [emoji38]Taasisi za kutetea haki za waulana na wanaume zimekaa kimya kama hawaoni.
Huyu dada atamaliza wavulana hapa mjini[emoji23][emoji23]
Uji siku ya msiba wako