Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230306_101026_216.jpg
 
Bikra magumashi zipo kibao Magomeni, Ilala, Kinondoni na Kariakoo..
Ukionekana una mzigo na kama familia ya demu imekuelewa anaitwa fundi kupachika 'Kibereko' uhangaike nacho😂😂🙄
Watu hawataki mchezo kwenye kusaka maokoto
Nini kinaendelea hapa?

Bikra za bandia? 😳

View attachment 3006900
 



1. Uzito wa nyoya....
2. Made in Tabora....
3. Tukunyema...
4. 4×4×4×far....
5. Zigo
6. Tafuta jibu, hapo ni kanisani au kitchen party au tamasha la wamama au kwaya au...
7. Wanaume muelewe, hii mizigo hamuishangai pekeyenu tuu, hata wenyewe kwa wenyewe huwa tunaishangaa na kuikodolea macho inavyorindima au kurindimishwa na wenyenayo....😅😅😅

Angalia hao wadada wa nyuma ....😁😁😁 macho kodo.
 
Back
Top Bottom