Inabidi angie namna hii, vinginevyo hataeleweka na kupokelewa
Front and back sifa zote njema apewe MunguMaajabu ya uumbaji 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2954395View attachment 2954396View attachment 2954397
Tunawalaumu wakina dada ka mtindo wao lakini asilimia 75 ya lawama ilipasa iwe kwetu brother.Naelewa maumivu yako mkuu. Katika umri wetu huu tumeona mengi. Sasa unapotaka iwe halafu haiwi mtu unaanza kujiuliza kwa nini haiwi wakati inavyotakiwa kuwa inakuwa?
Mimi hapa nina fomyula bullet proof kama binti hana tatizo ni lazima tu abebe mzigo tena hata mapacha nikitaka. Ikishindikana huwa naanza kuuliza:
➡️ Eti kwenu mna tatizo la ugumba?
➡️ Ulishawahi kutoa mimba?
➡️ Ulishawahi kuugua magonjwa ya zinaa (kwa muda mrefu)?...
➡️ Ulishawahi kunywa P2 ili usibebe mimba za mahabaria huko nyuma?
➡️ Ulishawahi kutumia njia za uzazi wa mpango?
➡️ Ulishapima afya ya mfumo wako wa uzazi?
➡️ Una uhakika una kizazi?
Akijibu kwa maswali yote haya kwa usadifu halafu bado haiwi kama ninavyotaka iwe basi nitamshangaa sana japo kwa kizazi hiki cha sasa hakuna cha kushangaza....
Hakika aisee, haswa wakina mama.
Sijui niseme asante kwa niaba!
Mkuu umebadili avatar, kidogo nisikujue ni wewe!
Ndio mkuuMkuu umebadili avatar, kidogo nisikujue ni wewe!
Aya bwana furahia, hata hivyo hii nimeipenda ! Sijui kwanini?Ndio mkuu
25Wanahisabati. Jibu sahihi hapa ni 25 au 35?">
![]()
View attachment 2953424View attachment 2953426View attachment 2953427
Who si Tom anda who is Jery...
Mtaweweseka mpk mkome..na badooo hahahhahahah
Afadhali yenu kwa kweli 😁😁😁🙌Mtaweweseka mpk mkome..na badooo hahahhahahah