Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mloganzila
0b9eb7da030d420364cc6e9d76085d33.jpg
 
Mumeo asingekuwa kiongozi ungelipwa na nani hyo hela?nani amekwambia kuishi na kiongozi ni kazi inayotakiwa kulipwa?mumeo si ana mshahara anashindwa kukulipa?
Anamchongea mumewe Kikwete kuwa msimuone hivyo Hela nyumbani haniachii huyo Wala kunitunza
 
UGUMU WA MAISHA si wa kuchekea. Unatokana na kukosekana kwa ajira, gharama za maisha sababu ya mfumuko wa bei na mzunguko duni wa fedha. Sasa hivi vijana ni mwendo wa KUBETI, KUTAPELI (hasa kutumia simu) KUKABA, ULEVI, nk. Ishara hizi ni dhahili kuwa kila mtu atafikiwa. Ni SUALA LA MUDA TU!
FB_IMG_1710583299574.jpg
 
Back
Top Bottom