Manina, wachawi nyie
Kwa kweli inasikitisha sana!Hiyo hoja ya huyo mama ni upuuzi mtupu ambayo ni akili y mwanamke mjnga tu asiye na hekima wala busara anaweza kuja nayo.
Huu muswada ningependa ajitokeze mtu au kikundi/taasisi waupinge mahakamani kwa hoja. Itoshe kusema ni jambo ambalo halikubliki kabisa kwa 99.999999% ya Watanzania wote.
Mumeo asingekuwa kiongozi ungelipwa na nani hyo hela?nani amekwambia kuishi na kiongozi ni kazi inayotakiwa kulipwa?muomeo si ana mshahara anashindwa kukulipa?
Watu kama hawa ni wakuchapwa risasi at the spot ndiyo akili zita wakaa sawa .... baba yake ni fisadi mkuu berizeburi ila awatosheki.
Wizi tu,kwani hayo mafao yote anayolipwa rais c anahudumiwa yeye na familia yake basi kama ni hivyo na wake wa wafanyakazi wote wa serikali walipwe kwa ndio wanaohangaika na watoto kama wafanyavyo wezetu wa ulaya.