Yaani ndoa yake yeye sisi ndo tumlipe.raha apate na bado alipweNa walikuwa wananunuliwa kila kitu na serikali hadi nguo za ndani
Mama Ali umetisha .haya bhana
Na Bado mtu anaona fahari Kwa kutoa Hilo pendekezo bungeni. Anajisifia kabisa.Mentality ya kisistaduu imetoa wazo kwenye bunge la wajinga na wazo lake likakubaliwa.
Sio muswada tena, imeshakua Sheria, au huna taarifa??Hiyo hoja ya huyo mama ni upuuzi mtupu ambayo ni akili y mwanamke mjnga tu asiye na hekima wala busara anaweza kuja nayo.
Huu muswada ningependa ajitokeze mtu au kikundi/taasisi waupinge mahakamani kwa hoja. Itoshe kusema ni jambo ambalo halikubliki kabisa kwa 99.999999% ya Watanzania wote.
Anajisifia ujingaaaa!!
WACHA WAKUSANYE MABILIONI YA MASIKINI WALIPA KODI ILA MUNGU NI FUNDI PARAPANDA LIKILIA HALIJALISHI WEWE NI NANI ULIISHI VIPI ULIKUSANYA MAMILIONI ULIJENGA MAGHOROFA MANGAPI UNAONDOKA UCHI KAMA ULIKUJA DUNIASawa
DahNa Bado mtu anaona fahari Kwa kutoa Hilo pendekezo bungeni. Anajisifia kabisa.
Werevu walifungwa midomo 2020, sasa hivi takataka ndio zinaongea kule bungeni.Na Bado mtu anaona fahari Kwa kutoa Hilo pendekezo bungeni. Anajisifia kabisa.
Hayo ndio mafanikio aliyoyafanya kwenye jimboni kwakeNa Bado mtu anaona fahari Kwa kutoa Hilo pendekezo bungeni. Anajisifia kabisa.
Ni mambo gani mengine ambayo utekelezaji wake hufanywa haraka baada ya kupitishwa na Bunge?