Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1
FB_IMG_1710564932381.jpg
 
Hii nchi hatujielewi.Na wengine ni viongozi ila kichwan mwao ni shida tupu.
 
Hiyo hoja ya huyo mama ni upuuzi mtupu ambayo ni akili y mwanamke mjnga tu asiye na hekima wala busara anaweza kuja nayo.

Huu muswada ningependa ajitokeze mtu au kikundi/taasisi waupinge mahakamani kwa hoja. Itoshe kusema ni jambo ambalo halikubliki kabisa kwa 99.999999% ya Watanzania wote.
Mkuu kwa nini usianze wewe, ulieyeona kasoro hiyo????
 
Madhara ya kuingiza familia nzima kwenye siasa, ni kwamba likitokea jambo, linapita na familia nzima.

Cc:Ghadaffi+Saddam
 
Back
Top Bottom