Kuna dada mmoja kwenye mtandao wa X kaipost hii picha,huyu mdada ana stress za kuolewa balaa😂😂😂,yeye kila post yake analalamika wanaume wamekataa kumuoa
Ligi ya mabingwa.
Waumini wa dini za mababu wa kiafrika
Kama ulipata ofa za kuolewa ukazipuuza kwakweli endelea kujuta.Usijute. Ulifanya vyema kuuheshimu mwili wako. Hata kama ungeruhusu ukachezewa hakuna guarantee kwamba usingeishia kupata furushi!
View attachment 2932414