Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
usiseme hivyo bro, kuna mtu nimempeleka shule huko mkoani, ngoja nijiandae kuwa na kifua.A very sad story!
Tuseme mara ngapi kwamba mpenzi/mchumba na wakati mwingine hata mke hasomeshwi?
Ukiamua kumsomesha mpenzi au mchumba wako basi chukulia kuwa ni sadaka tu unatoa na usitegemee cho chote. Vinginevyo ni lazima uwe na kifua!
View attachment 2932419
View attachment 2932420
View attachment 2932421
View attachment 2932422
View attachment 2932423
Duh
Sawasawa
AiseeUsijute. Ulifanya vyema kuuheshimu mwili wako. Hata kama ungeruhusu ukachezewa hakuna guarantee kwamba usingeishia kupata furushi!
View attachment 2932414