Wanachagua sana, mara uwe mrefu, mweusi, ndevu kidogo, uwe na dini hii au ile.
Maya ajengewe Sanamu mnazi mmoja View attachment 2933806
Maya na Atu ni mabinti wanaojitambua. Watakuwa na ndoa njema sana wakija kupata wanaume wanaojitambua pia. Mungu na Awabariki!