Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230626_075458_Facebook.jpg
 
Maendeleo wapi bwana wewe....kila mwaka we solving the same perennial problems alafu mwasingizia ngono. Kwanza ngono inachukua asilimia ndogo sana ya muda wa mwanadamu...kama mie dakika mbili chali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maandalizi ya ngono yanachukua muda na raslimali nyingine kadhaa.
Hata ukipewa jukumu la kitaifa utalitumia kama fursa ili upige ngono .
 
Back
Top Bottom