AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,482
Mpuuzi mmoja.
Hahahahahaha[emoji1787][emoji1787], duu jamaa yangu acha kujaribu jaribu vitu vinavyotokana na stori za mtandaoni[emoji23][emoji23]Nisiwe muongo, nimejaribu kumeza mate.
Duuu, umempa maneno mazito yenye uhalisia mkubwa.Sasa kama Mtanzania ndio kama wewe kila saa unawaza ngono tu unategemea nini? Kama Taofa linategemea vijana kuleta maona namna ya kusonga mbele ila wengi wanawaza kubet na kujisifia ngono kama wewe. Nyie ndio vijana msio na faida katika nchi yetu. Bora hizo rasilimali tuwape waarabu na nyie vijana tuwauze utumwani tu.
Akili za walio wengi wetu zinafanana.Sasa jamani kwani mie mzabzab kuwaza ngono ndio muwapakazie vijana wote....mbona marekani kuna vijana wa hovyo kama mie lakini bado taifa kubwa na maendeleo yapo. Tena basi hao vijana wa hovyo ndio wanaingiza mpunga mkubwa kuliko nba, nfl mlb combined.
Kwa hiyo suala la mzabzab kupenda ngono hicho ni kisingkzio sio sababu. Kwani hao wazee wetu wenye akili wao wanawaza nini?
Hii ni dharau ya wakenya.Huyu mzee wa Tanzania alilipwa Elfu moja Kenya kufika border alibadilishiwa na mapesa ya kwao mambo ikawa hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2929739
Naona jamaa yangu hapo pembeni amechoka.
Maendeleo wapi bwana wewe....kila mwaka we solving the same perennial problems alafu mwasingizia ngono. Kwanza ngono inachukua asilimia ndogo sana ya muda wa mwanadamu...kama mie dakika mbili chali🤣🤣🤣🤣🤣Akili za walio wengi wetu zinafanana.
Ni ngono tu.
Lakini wakitoka kugegeda wanalaumu viongozi kudumaza maendeleo.
Maendeleo ya nchi yako yanaanza na wewe.
Tajiri wa hili gari lazima atakuwa Mpare! 😬😬😬Pale Difu na tairi za nyuma zinapojitenga na gari.
View attachment 2929908