Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,526
- 59,555
Tatizo nini?
Sasa sii ndio raha ya dunia mzeya kwani kuna starehe gani nyingine zaidi ya hiyo.Maandalizi ya ngono yanachukua muda na raslimali nyingine kadhaa.
Hata ukipewa jukumu la kitaifa utalitumia kama fursa ili upige ngono .
Kwa kweli nashukuru nilisomaganwakati hamna hivi vilonga mbaliiiii
Itakuwa singeri😅
Hicho kibwengo,mlinzi au🤔[emoji16][emoji16]View attachment 2326618
Zitakuwa akili za mwanakijani bila shaka😅
Mfanya sensa wa kijani wajameni😁Makaran wa sensa 😂
Tuache kuwalalamikia viongozi wetu, maana wao wanatokana na sisi.Sasa sii ndio raha ya dunia mzeya kwani kuna starehe gani nyingine zaidi ya hiyo.
Sie waafrica ni wapuuzi tuu roho mbaya kama ngozi zetu alafu bwana tumezidi ulafi