Huyu madam juzi ameniomba lift pale bypass around saa sita za usiku [emoji81][emoji23][emoji85], BT kulikua na Rasharasha mimi na huruma yangu nilisimamisha tulela [emoji597][emoji81], na nikamwambia ingia twende...
Sasa kitu ilinshangaza alikohoa na bass buana [emoji1787][emoji276], ikabidi ni confirm Sura mara katha [emoji30][emoji2955], kumbe ata makeup ilikua imeanza kutoka ju ya ile manyunyu ya mvua, na Ile kukohoa ni ile kifua yake ilikuq imeingiza baridi [emoji1785], Mimi nikadhani nimebeba ghost [emoji317][emoji79], ju hata sura nilishindwa kuangalia mara ya pili [emoji2955][emoji847][emoji23].
Sema madam kunipandishia hasira [emoji34][emoji3], nikakumbuka Kisanga flani derefa wangu ashai fanyiwa hapo awali exactly kama hii [emoji28], ilibidi nitoe rungu chini ya kiti kwenda kumgonga moja akashika ile rungu basi 🥹[emoji3062][emoji21], mimi nikajua nimeisha hapa [emoji1787][emoji30]...
Lakini nilijijaza nikamwekelea dondi moja ya kerimo adi akatoa wig [emoji21][emoji81], kujisugua Kwa kichwa [emoji276][emoji3], na akaniomba banadol zile Mimi huwa natembea nazo [emoji3525][emoji1787], then madam anaanza kuniambia ati ni prank nimsamehee hii ni prank gani na madam anashika rungu ikiwa ju aii [emoji3][emoji23][emoji1787], nilimwangalia hivi [emoji19]🫤[emoji3525][emoji35][emoji1787], nikaona huyu anakaa innocent sana hivyo ndio jaba iliisha kwa macho buana 🫣[emoji1787][emoji1787][emoji276]....