Akili yetu inashia kutuma na kusoma memes baaasi...[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Wenzetu wanatumia ubongo wao vizuri sana. Ila sie waafrica akili zetu nyeusiii kama ngozi zetu.
2016 Jamaa alifanyiwa tukio baya sana kwasababu ya stori za kwenye cha kijiwe cha kahawa.Ni kuwa makini tu hasa kwenye mambo ya kisiasa. Unaweza kukaa kwenye kahawa lakini unasikiliza zaidi kuliko kuongea. Na ukiongea, unaongea kwa staha, bila uzushi. Ukitaka kuzusha unazusha stories za mpira na mastaa wa movies na music- tena mastaa wa nje ya nchi😀😀
Kuna sura ukiziangalia, unaona kabisa haiwezi kukosa kitambulisho cha NIDA
Kumaboy 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakika maswala ya imani ni changamoto (kwa baadhi ya dini/imani za watu)aisee, ukute ni mke wako yupo kwenye maombezi ya namna hio!