Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

9795.jpg
 
Mgonjwa.......👇

Naumwa daktari nina ugonjwa wa kupoteza kumbukumbuku...

Daktari.......👇

Pole sana kwa kuumwa kijana..... ugonjwa huu ulianza lini?

Mgonjwa........👇

Ugonjwa gani? 👧
Huyu atakuwa mo akiulizwa kuhusu kununua simba 🤣🤣🤣🤣
 
Timu ya Taifa baada ya kutwaa taji la Afrika Mashariki na kati mwaka 1994.

Kuna Reginald Mengi, yeye alisimamia timu kifedha.
Kuna Waziri wa michezo Profesa Sarungi,
Sirlersaid Mziray Kocha Mkuu.
Mustafa Hoza, Edibily Lunyamila,
George Masatu, Steven Nemes, Said Mwamba Kizota, Joseph Katuba,
Hussein Aman Marsha, Mwanamtwa Kiwelo, Deo Mkuki, Nteze John Lungu na wengineo.
Wamepeleka Kombe Ikulu.
919.jpg
 
"Nguvu za umeme zipo kila mahali kwa kiasi kisicho na kikomo na zinaweza kuendesha mitambo ya ulimwengu bila hitaji la makaa ya mawe, mafuta, gesi, au nishati nyingine yoyote ya kawaida."

Nikola Tesla

JE, MABENKA HAWA WALIHARIBU WAZO LA TESLA NA KUSIMAMISHA ZAWADI YAKE YA NISHATI BURE KWA WOTE?

MORGAN

WARBURG

ROCKEFELLER

JP Morgan na mabenka wengine kwanza walijifanya kumuunga mkono Tesla, lakini
kwa ufanisi walikuwa wanatafuta tu kumdhibiti. Walipojuq alikuwa anapanga kutoa dunia ENERGY BURE kama zawadi, walimnyamazisha Tesla kwa kutumia magazeti wanayoyadhibiti.View attachment 2921945
kila nikifikiria vile ingewezekana umeme kuwa wireless kulingana na nicola sipati jibu
 
Back
Top Bottom