Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Permanent psychological damage already inflicted...with a dose of permanent inferiority complex. Sad!
huyu jamaa anaishi tz?
Alikuwepo laivu kwenye mkutano...huyu jamaa anaishi tz?
au siku hizi serikali haifatilii hizi kauli za mitandaoni
Duh! wakazi 27 bado Kuna wacheza mpira, wanajeshi, wabunge inafikirisha sanaHII NDIO NCHI NDOGO ZAIDI DUNIANI
Sealand ndilo Nchi Ndogo zaidi duniani, Ina wakazi 27 pekee.
Nchi Hii Inaongozwa Kwa Mfumo wa kifalme (Monarchy) familia yake ya kifalme, ikiwa ni pamoja na Prince Roy, Princess Joan, na watoto wao wawili, Michael na Penny Wenye Mamlaka Katika Nchi Hii.
Sealand ni mojawapo ya nchi 200 duniani, yenye eneo la mita za mraba 550. Ina jeshi lake, bendera yake, sarafu yake, bunge , Timu ya Mpira , jeshi la polisi na mambo mengine ya nchi huru.
Kama Unahitaji Kuingia Katika Nchi Hii Itakulazimu Kuomba VISA
View attachment 2909483
Hawana shida ya sabuni.Afande tumbo tumboView attachment 2912171
Yaani timu mpira tuu wameisha, labda kila kazi yumo.Duh! wakazi 27 bado Kuna wacheza mpira, wanajeshi, wabunge inafikirisha sana