Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

cheka_time__20240218_38.jpg
 
HII NDIO NCHI NDOGO ZAIDI DUNIANI

Sealand ndilo Nchi Ndogo zaidi duniani, Ina wakazi 27 pekee.

Nchi Hii Inaongozwa Kwa Mfumo wa kifalme (Monarchy) familia yake ya kifalme, ikiwa ni pamoja na Prince Roy, Princess Joan, na watoto wao wawili, Michael na Penny Wenye Mamlaka Katika Nchi Hii.

Sealand ni mojawapo ya nchi 200 duniani, yenye eneo la mita za mraba 550. Ina jeshi lake, bendera yake, sarafu yake, bunge , Timu ya Mpira , jeshi la polisi na mambo mengine ya nchi huru.

Kama Unahitaji Kuingia Katika Nchi Hii Itakulazimu Kuomba VISA

FB_IMG_1708386985619.jpg
 
"After I went to Nigeria, I realized that life in the US is good." 50 Cent

"I use to think I was from the bottom. All my life I've never seen anything as hârsh as the neighborhood the driver took us to. Forget about housing projects where the elevators aren't good, no AC, no steady electricity and others cuz they didn't even have that. What we call svffering is what they see as luxury." 50 Cent
FB_IMG_1708387390411.jpg
 
Kitendo cha umoja wa Afrika (AU) kutambua mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na kuweka sanamu yake kwenye makao makuu ya umoja huo ni heshima kubwa kwa taifa letu. Lakini hii sanamu waliyotumia sio ya Mwalimu Nyerere. Hii haina tofauti na ile Kigwangala aliyoweka pale Burigi-Chato mwaka 2019. Bila shaka mkandarasi ni yuleyule wa nje ya box. Amekula pesa yote kabla ya kazi, matokeo yake ameitoa sura ya Nyerere nje ya box. Tafadhali @africanunion_official ondoeni hii futuhi hapa. Nyerere gani ana stress kama amekatwa kwenye kura za maoni?
Malisa GJ
FB_IMG_1708387030662.jpg
 
Back
Top Bottom