[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uchaguzi huo anaandaa mazingira
ukiwa na utani na binti yako hadi raha, lakini kibongo Bongo mpaka umevukwa!
nimependa tu mlango wa Ikulu kuwa na komeo!Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amtembelea mh rais Samia Ikulu ya Tunguu Zanzibar.
Jumatano feb 21 2024.View attachment 2912132
na wapenda sana wakina mama na wanadada watafutaji, aliwahi kuimba Ay enzi hizo.Mama watafutajiView attachment 2912138