Ziwa moja nchini Peru lina chumvi nyingi na madini mbalimbali. Wakazi wa huko hupaka tope kutoka kwenye ziwa hilo kwenye miili yao wakiamini kuwa lina uwezo wa kuponya.View attachment 2912544
Hii ni sahihi kabisa 🙏[emoji419][emoji375]View attachment 2912545