Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Topiki bora kuliko zote primary enzi zileee hakuna cha simu wala tiviii

View attachment 2899341
Imebidi niangalie vizuri mfumo wetu!
Kumbe wazungu hadi wafike wana kuwa na mzunguko mkubwa kiasi hiki, sasa mbona wengine wanafika ndani ya sekunde 3! Au wanakua mlangoni tayari
e7d320b5ea029e874c08f57b6ccec2e8.jpg
 
Back
Top Bottom