Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,399
- 857,603
- Thread starter
- #212,121
Utani na wapare umeanza lini[emoji35]Haya ni makande? [emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utani na wapare umeanza lini[emoji35]Haya ni makande? [emoji15][emoji15][emoji15]
Utani na wapare umeanza lini[emoji35]Haya ni makande? [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasemekana mtoto wa kuku wa siku moja (kifaranga) ana akili kuliko mtoto wa binadamu wa miaka minne, ila mtoto wa binadamu kadri anavyokua ndio akili yake kuongezeka na ya mtoto wa kuku hupungua, ila kuna watoto wengine wa binadamu akili zao hubakia zile zile za miaka minne hadi uzeeni wao , moja wapo ni huyo mama.
Ushahidi wa kisayansi imekosekana lakini ni kweli katika uhalisia.
Na wewe hii web-based app ya JF inakusumbua. Unabofya post reply hai-respond unabofya tena ukifikiri haijakuwa posted. Matokeo yake unajikuta umerudia post ile ile hata mara tano!
Shida ni u Chawa ndugu yangu...Inasemekana mtoto wa kuku wa siku moja (kifaranga) ana akili kuliko mtoto wa binadamu wa miaka minne, ila mtoto wa binadamu kadri anavyokua ndio akili yake kuongezeka na ya mtoto wa kuku hupungua, ila kuna watoto wengine wa binadamu akili zao hubakia zile zile za miaka minne hadi uzeeni wao , moja wapo ni huyo mama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo na sisi tuvae hijab[emoji3064][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Wapare ni watani zangu.
Imebidi niangalie vizuri mfumo wetu!Topiki bora kuliko zote primary enzi zileee hakuna cha simu wala tiviii [emoji16]
View attachment 2899341
Hakika nitafanya hivyo, tena nitaenda ndani ndani huko vijiji vya mbali na vilivyo tengwa must I will do.Tuwasaidie kila tunapoweza. Chukua mmoja na umsomeshe bila kutegemea cho chote! [emoji1545][emoji1545]
View attachment 2899364