Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1707553829808.jpg
 
Hujawahi kuihangaikia 😝🏃🏃🏃🏃🏃
Nakataga tamaa mapema sana; na unaweza ukanipa nikaisusa hasa nikigundua kwamba kumbe hauko kama vile nilivyokudhania. Kwangu mimi nikimpenda mtu hata asiponipa ni sawa tu maana huwa nathamini sana urafiki, ushikaji na lile vibe la kwamba huyu ni mshikaji wangu and she cares for me. That type of relationship is more meaningful and priceless!

#Busarazavibabukazi 😁🙌
 
Uko vizuri....
 
Uko vizuri....
Sana!

Mpaka miaka 77 hii bila shaka nshaona na kujifunza mengi. Kwa kujifunza zaidi fungua PM au bonyeza 6 kwenye simu yako 😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

➡️➡️➡️ On a serious note vipi yule mgonjwa wako? Anaendeleaje? Natumaini anaelekea kwenye uponyaji sasa. Pole kwa kuuguza aisee 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom