Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,515
Bado tunapambana anategemea kuondolewa ziwa lingine vipimo vikikamilika.Sana!
Mpaka miaka 77 hii bila shaka nshaona na kujifunza mengi. Kwa kujifunza zaidi fungua PM au bonyeza 6 kwenye simu yako 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️
➡️➡️➡️ On a serious note vipi yule mgonjwa wako? Anaendeleaje? Natumaini anaelekea kwenye uponyaji sasa. Pole kwa kuuguza aisee 🙏🏿🙏🏿🙏🏿