Namng'ang'ania anayening'ang'ania tunang'ang'aniana 🤗🤗🤗Mideko ulishawahi kumng'ang'ania mtu? Kwa nini?
Mimi hapa 🙃🙃Yupo kweli? 😳😳😳
Hahaha..
Mkuu hivi 'kibamia' ni kitu gani?Ana kibamia[emoji23][emoji2]
Wanasema kikojoleo kidogo ndo kinaitwa kibamiaMkuu hivi 'kibamia' ni kitu gani?
Maana nasikiaga watu wanasema hilo neno[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mpira wa miguu ukijichanganya unachanganywa mpaka uchanganyikiwe[emoji28]Mpira bana!
Wengi walikuwa wanadai kuwa Ivory Coast wako vizuri sana na wataondoka na kombe. Halooo!
View attachment 2880177
Ona mashabiki wao walivyokuwa wanaringa! [emoji116]
View attachment 2880178