Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Jamani 😃😃😂Nilishakaribia kumuacha mtu kutokana na tabia yake ya kuminya dawa ya mswaki po pote pale bila kujali. Dawa ya mswaki mpya inaminywa tu hata katikati yeye hajali dah!
View attachment 2880193