www.instagram.com
Katika hilo kabila uhendisamu wa mwanaume hupimwa kwa kuangalia ukubwa wa kitambi. Huyu akiendelea kulea hicho kitambi si ajabu akaishia kuwa kijana mzuri kuliko wote...Ana kibamia😂😃
Reality sucks!
Mjukuu umejiunga kwenye timu kataa ndoa? 😳😳😳Siyo lazimaView attachment 2052913