moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,361
- 775,917
Nimeuliza tu miye.Ankal sitaki mie,
Kwetu kupo vyed kuliko bata namtumbo.
Maana hata Namtumbo kwenyewe shida tu.
Nimeuliza tu miye.Ankal sitaki mie,
Kwetu kupo vyed kuliko bata namtumbo.
Wamekukosea nini?
Wananifanyia mauzauza hawa watu lkn basi tu,Wanakufanyaje tena jirani.. niko nasubiri meme zako hapa
Kama wamefuta Tupia tena na tenaWananifanyia mauzauza hawa watu lkn basi tu,
Ukisikia Mbinga,Mbinga ni wilaya ambayo inaubeba huu mkoa[emoji126]Nimeuliza tu miye.
Maana hata Namtumbo kwenyewe shida tu.
Ngoja nioneKama wamefuta Tupia tena na tena