Huendi mbinguni smart 😁
Hahahaha
Hiko kigauni kilichoelekea juu kizuri sana
Duh. Paka wamemsanua kinyeo!!!
Juzi naangalia muvi na madogo Scene inaelekeana nahio madogo wamekodoa mimacho hata hawaoni aibu yani mmoja form 6 mwingine form 4 kusema ubadili channel sio kwamba ni watoto wadogo eti hawajui nikabaki kuzuga nipo bize na simu 🤠
Maombi gani tena hayo
Ya kukutuliza wenge kipenzi changu.Maombi gani tena hayo
Ya kukutuliza wenge kipenzi changu.Maombi gani tena hayo