Usiku wa kuamkia Jana nyumba na maduka yake vimechomeka, kwetu.,Umeme si kitu cha mchezoView attachment 2872925
Duuu poleni.Usiku wa kuamkia Jana nyumba na maduka yake vimechomeka, kwetu.,
Hao zima moto Sasa[emoji1241]
Ankal sitaki mie,Duuu poleni.
Mji wenu una zimamoto?
Wanakufanyaje tena jirani.. niko nasubiri meme zako hapa