Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mnamo 1972, Charlie Chaplin Alipata Tuzo Yake ya Kwanza na ya Pekee ya Oscar Kwa Kuwa Mtu Mcheshi Zaidi Katika Historia. Tuzo hiyo Ilikuwa Jengo la Dhahabu la Karati Ishirini na Nne (24) na Inagharimu Euro Milioni Moja. Alipata Shangwe Na Makofi Kwa Muda Wa Dakika Kumi Na Mbili (12) Katika Sherehe Hiyo. Hii ilikuwa pongezi ya muda Mrefu Zaidi Kuwahi kutokea katika Historia Duniani. Muda mfupi Baadaye, Tuzo Iliibiwa!View attachment 2872755

Sent using Jamii Forums mobile app
Usicheze na watu.
Wakati wewe unashangilia watu wanaipigia mahesabu, ukimaliza sherehe yako na tuzo haipo
 
Screenshot_20240115-152401_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom