moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,313
- 775,809
Shukrani mkuuu.Inategemea na ntu na ntu m sio lazima unipe hapo kwanza na aibu(nakua kama nauza) [emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]sio kua sipendi hela ila najua ntapewa tuuu no matter what.
Shukrani mkuuu.Inategemea na ntu na ntu m sio lazima unipe hapo kwanza na aibu(nakua kama nauza) [emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]sio kua sipendi hela ila najua ntapewa tuuu no matter what.
Tunadangnywa kama watoto wa kuku.
Duuu aibu.
Kumbe ni mshahara😊😊Mshahara mubashara..
Ulishajaribu mwaka huu?😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Umezidi kidogo ukijaribu usisahau kuleta mrejesho...😅😅
Hahahaha😂😂😂 Imeisha hiyo
Duuu, namba 69 hiyo.
Muulize huyo mzee hapo😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️