Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,515
Pole sana...
Pole sana...
Mshahara mubashara..
Umezidi kidogo ukijaribu usisahau kuleta mrejesho...😅😅
Hayanaga mwongozo! 😁Pole sana...
Mkuu Rudisha ile profile bhana
Aisee hata sijui iko wapi. Hii ya mwaka mpya tayari ishadoda? 😳Mkuu Rudisha ile profile bhana
Nimepata tabu kujua kama ni Wewe.. mbona kudoda??😂😂Aisee hata sijui iko wapi. Hii ya mwaka mpya tayari ishadoda? 😳
Ngoja niendelee kuisaka. Nikiipata tu nitairudisha!Nimepata tabu kujua kama ni Wewe.. mbona kudoda??😂😂
Wow, thank you 😊🤗.. hapo nimeridhikaNgoja niendelee kuisaka. Nikiipata tu nitairudisha!
Ndo kwanza nimeamka hapa🌚🌚. Anyways ulale unono na weweSawa bana!
Ulale unono!
Uko nchi gani?Ndo kwanza nimeamka hapa🌚🌚. Anyways ulale unono na wewe