Hapahapa bongo land,, ukiamua tu kufanya mchana uwe usiku na usiku uwe mchana😂😂Uko nchi gani?
Kuna tutoto twa kiume hapo nyuma tumetoa macho balaa!
Haya bana japo najua unanifunga kamba! 😁🖐Hapahapa bongo land,, ukiamua tu kufanya mchana uwe usiku na usiku uwe mchana😂😂
Haya bhanaHaya bana japo najua unanifunga kamba! 😁🖐
😂 atakua mdogo wake yombo msukuma huyo