Mwanamke akipendwa sana analia , akisalitiwa analia, ukimpa show ya kibabe pia analia.
Umetumia Fasihi kali sana!
Jamaa mpaka anatia huruma yaani. Kweli hayanaga mwongozo kama ambavyo mzee wa miongozo huwa anatuusia humu!
Hivi kwa mfano ile hela kama sijaitoa mnachukulije.Ransom 😃😃😃.
Inategemea na ntu na ntu m sio lazima unipe hapo kwanza na aibu(nakua kama nauza) 😃😃😃🙌sio kua sipendi hela ila najua ntapewa tuuu no matter what.Hivi kwa mfano ile hela kama sijaitoa mnachukulije.
Naomba uzoefu mkuu