Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Mipira ya chini inaweza kumpa shidaBacar Niase.
Golikipa wa timu ya taifa ya Mauritania.
Golikipa kama unavyomuona, mrefu kama ngongoti, akisimama katikati ya goli anaweza kukamati nguzo ya goli kushoto na kulia.
Anakaribia kumwaga wino kwenye timu moja ya Tanzania.View attachment 2861310
Huyu naamini ni wangu na hana mtu mwingine. Huyu ai swea sichapiwi!
Ikitokea mwamba akakausha utaidai au inakuwaje? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Inategemea na ntu na ntu m sio lazima unipe hapo kwanza na aibu(nakua kama nauza) 😃😃😃🙌sio kua sipendi hela ila najua ntapewa tuuu no matter what.
Ransom kama vile umetekwa😳 😁😁😁Ransom 😃😃😃.
Such a clown!




