moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,238
- 775,718
Mende analiwa vizuri na kila aina ya ndege, lakini ndege jamii ya kuku anapenda sana mende.Ningependa kujua sababu ya mende. I hate them! Sijui hata wana faida gani yaani. Mbu angalau wanaeneza magonjwa na wanasaidia kupunguza population. Mende sasa. Hakuna hata ndege ambaye anamla. Pure trash [emoji706]
Katika siku za hivi karibuni binadamu ni walaji wazuri wa mende na maziwa yake.
Kwahiyo mende ni chakula