Lengo ni kukupanikisha wewe na kidem chako hakuna kingine🤣🤠🤠🤠🤠!Unashangaa tu unaitwa mahakama kuu mwaka fulani nilimnyanyasa Antonnia ushahidi screenshot za miaka ishirini nyuma zimetunzwa...
Faini nusu ya mali zako, wakjitokeza na wengine daah!!
😁😁😁😁😁!Hata sasa tu hekaheka zako za hapa JF si za kitoto. Huko kitaa sijui hali ikoje. Ila kama una pesa hizo kesi utatoboa tu maana mna-settle out of court kama anavyofanya PDiddy labda kama baadhi ya wahusika ni underage. Hapo sasa ni msala tofauti kabisa maana wanaweza wakaku-RKelly 😁
[emoji3][emoji3][emoji3]
Tena anakuja na pepa za mase na fimbo😁😁😊!