Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

What? 😳

IMG-20231230-WA0044.jpg
 
Hata sasa tu hekaheka zako za hapa JF si za kitoto. Huko kitaa sijui hali ikoje. Ila kama una pesa hizo kesi utatoboa tu maana mna-settle out of court kama anavyofanya PDiddy labda kama baadhi ya wahusika ni underage. Hapo sasa ni msala tofauti kabisa maana wanaweza wakaku-RKelly 😁
Unashangaa tu unaitwa mahakama kuu mwaka fulani nilimnyanyasa Antonnia ushahidi screenshot za miaka ishirini nyuma zimetunzwa...

Faini nusu ya mali zako, wakjitokeza na wengine daah!!
 
Back
Top Bottom