Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nina miaka michache huko mbeleni nitaanza kushtakiwa Kwa vikesi kama hivyo...
Hata sasa tu hekaheka zako za hapa JF si za kitoto. Huko kitaa sijui hali ikoje. Ila kama una pesa hizo kesi utatoboa tu maana mna-settle out of court kama anavyofanya PDiddy labda kama baadhi ya wahusika ni underage. Hapo sasa ni msala tofauti kabisa maana wanaweza wakaku-RKelly 😁Nina miaka michache huko mbeleni nitaanza kushtakiwa kwa vikesi kama hivi.
Mtihani sana Namshukuru Mungu Kutokuwa na tamaa na hayo madude.Mnaokunywa hii mipombe mikali hii kuweni makini. Zaidi ya asilimia 90 ni feki na hakuna anayejua mnakunywa makemikali gani. Angalieni sana afya ya figo na maini yenu 🙏🏿
View attachment 2857753View attachment 2857754