Papa anawachukulia poa hawa watu, ni kama haijui kabisa mission yao. wanachokitaka ni zaidi ya kubarikiwa mali zaoKutoka kwa Pd. Titus Amigu:
NI MTEGO MBAYA MNO
Katika suala la baraka mgogoro ni kwamba mashoga na wasagaji ni WANAHARAKATI (ACTIVISTS). Ndiyo maana watakuja kanisani kuomba baraka wakijitambulisha. Wanapigania kutambuliwa kisheria, kijamii na kikanisa (kidini). Kwao kuwapa baraka maana yake ni KUTAMBULIWA NA KUKUBALIWA NA KANISA. Kwao huo ni mwanzo wa USHINDI. USHINDI kamili utakuwa kufungishwa ndoa katika Kanisa Katoliki. Wadhambi wengine hawafanyi uanaharakati ndiyo maana hawajitambulishi. Walevi, wazinzi, waasherati, wambea, mafisadi, waongo, majambazi, wevi, wauaji n.k. hawajitokezi kuomba baraka wakaendelee kuishi katika dhambi zao kwa baraka ya Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mashoga na wasagaji hawaji kuomba baraka kusudi waongoke bali washinde katika itikadi na chaguo lao.
Kinyume chao, wadhambi wengine ni wanyonge wanaopambana wabadilike (metanoia). Kwa kisa hicho wanakuja wakiwa wanyonge mbele ya Mungu huku dhamiri zao zikiwauma. Kinyume chake mashoga na wasagaji ni WABABE wanaojitokeza wakijisikia ni mashujaa wa kutangaza hali zao kadamnasi pasipo kuumwa na dhamiri. Mashoga na wasagaji (na LGBTQ+ kwa ujumla) WAMEPANIA kulishinda Kanisa washerehekee uhuru wa mapenzi, mtego ambao Papa ananasa pasipo kuutambua au kama anautambua basi ameamua kusaidia utunase Wakatoliki.
Mashoga na wasagaji hawaombi baraka kusudi wakaache mwenendo wao mbaya. Hawaji kuomba baraka eti wakapate nguvu ya kuachana. SIVYO! Na hili ndilo jambo ambalo watu wanataka kumwelewesha Papa. Kuacha dhambi hakuhitaji kwanza kubarikiwa rasmi. Ni uamuzi wa dhati tu. Mwanampotevu hakuja kwanza kwa baba yake kuomba baraka kusudi akaache upotevu wake kisha arudi kuomba radhi. Anayetubu hapitii mzunguko mrefu hivi. Mimi nitakuja na andiko langu refu katika msimamo huu.
Usisahau KU-LIKE na KU-SHARE page hii ya Mkatoliki Imara
Mzee wenu Pd. Titus Amigu.
I have been hungry all day
Safi sana 👏👏👏Kutoka Deutsche WelleView attachment 2856400
Aisee siyo kweli!
Hata hivyo hatujajua tangu watu hao wameanza kazi ni kiasi gani walichofanikiwa kusambaza kwa wananchiWatu 7 (Wawili wana asili ya #Asia) wanashikiliwa baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) kukamata Kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya #heroin (Kg. 2,180.29) na #methamphetamine (Kg. 1001.71) katika Mikoa ya #Dar na #Iringa (Wilaya za #Kigamboni, #Ubungo #Kinondoni na #Iringa) kati ya Desemba 5 na 23, 2023.
Taarifa ya #DCEA imeeleza kuwa Ukamataji huo umehusisha kiasi kikubwa cha #DawaZaKulevya ambacho hakijawahi kukamatwa katika historia ya #Tanzania tangu kuanza kwa shughuli za udhibiti wa dawa za kulevya
Taarifa hiyo imefafanua zaidi kuwa dawa hizo zilizokuwa kwenye vifungashio vya bidhaa zenye chapa mbalimbali za #Kahawa na Majani ya Chai, endapo zingefanikiwa kuingia Mtaani zingeweza kuathiri zaidi ya watu 76,368,000 kwa siku.
Soma Dawa za Kulevya: Serikali yawatia Mbaroni Mapapa 7 wa Unga
#JamiiForums #Uwajibikaji #AccountabilityView attachment 2855000
Sent using Jamii Forums mobile app