Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20231228_093108_Instagram Lite.jpg
 
Inashangaza sana hawa jamaa. Kwa nini wanataka kutambuliwa? Wana uspesheli gani ambao watenda dhambi wengine hawana? Imagine wezi, wazinzi, wauaji, waongo na waabudu sanamu nao wakitaka kutambuliwa rasmi. Nini kitatokea? Kwa nini homosexuality inachukuliwa kama privilege fulani hivi na wanataka kudekeshwa kama last born wa watenda dhambi wote?
Kwa sasa wamefanikiwa kwa zaidi ya nusu kufanikisha mjadala wa agenda zao katika jamii nzima, vyombo vikubwa na vidogo vya habari vinajadili habari zao, jamii na imani za kidini kupitia tamko la papa zinajadili habari zao, kanisa kwa ujumla wake linajadili habari zao.
Kwa mtindo huu sio muda wanakua wamefanikisha ajenda yao kwa jamii yote na mwisho wa siku inakuwa homosexuality inakuwa sio kitu kisichokuwa cha kawaida na kuwa kitu cha kawaida!

Pope sijui kama akitafakari kwa kina juu ya hii issue.
 
Kwakuwa wakati anakutongoza ulisumbua sana.
Unaposumbua wakati wa mtongozano mwanaume anadhani K yako ina maajabu mengi.
Baada ya kukula anagundua huna maajabu yoyote.
Anaanza kujutia gharama alizopoteza ili akupate.
Mwisho anajiona boya mbele yako, anasepa na kukuachia mawazo yaliyojaa maswali mengi kichwani kwako.
1703843796816.jpg
 
Beatrice James Minja (47) mkazi wa Tarakea, Rombo anapigania maisha yake kitandani. Alijeruhiwa kwa kuchomwa visu 25 na Bw.Paul Tarimo ambaye anadaiwa ni mfanyakazi wa Prof.Adolf Mkenda, Mbunge wa Rombo na Waziri wa elimu.

Beatrice na Paul walikua kwenye mahusiano lakini Paul akawa anamtesa kwa vipigo vya mara kwa mara. Amewahi kumpiga mpaka mimba ikatoka. Beatrice alitafuta suluhu kwa muda mrefu bila mafanikio. Hatimaye akaamua kuondoka na kwenda kuanza maisha yake.

Kabla ya kuondoka Tarimo alimpora kiasi cha 10M ambazo zilikua mtaji wa biashara pamoja na pesa za ujenzi wa nyumba ya mama yake. Beatrice aliripoti polisi lakini Tarimo hakuwahi kuitwa kuhojiwa.

Beatrice alipoondoka kwa Tarimo aliacha baadhi ya mali ikiwemo nguruwe wakubwa 6 na vitoto 11. Baada ya Beatrice kuondoka Tarimo alienda kwenye banda na kukatakata nguruwe wote pamoja na vitoto. Bado polisi hawakufanya lolote.

Tarehe 13/11/2023 saa 12 jioni Beatrice akiwa na akina mama wengine wawili, walishambuliwa na Tarimo, ambaye alimkwida Beatrice na kumchoma jumla ya visu 25 maeneo mbalimbali ya mwili wake.

Alikimbizwa hospitali ya Huruma lakini alipewa rufaa kwenda KCMC. Tayari ameshafanyiwa operation kubwa 2 za tumbo, na ameshonwa jumla ya majeraha ya nje zaidi ya 20. Kwa sasa yupo ICU. Yupo kwenye mstari mwembamba kati ya kifo na uzima. Wakati huohuo Tarimo anaendelea na shughuli zake kama vile hakuna kilichotokea.

Beatrice ana watoto wawili ambao aliwazaa kabla hajakutana na Tarimo. Mmoja yupo chuo kikuu UDSM mwaka wa 3 na mwingine yupo darasa la 5. Katika hali ya kushangaza Tarimo amesema atawasaka watoto hao na kuwaua. Watoto hao wameripoti kutishiwa maisha kwenye kituo cha polisi Tarakea lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.

#MyTake:
Polisi kwanini mnasita kuchukua hatua dhidi ya Bw.Paul Tarimo? Mtu anachomwa visu 25 hadharani na mtuhumiwa anatamba mtaani? Lini mmekua "goigoi" kiasi cha kuogopa watuhumiwa? Mnataka Beatrice afe ili mseme mlikosa ushahidi wa kumkamata Tarimo? OCD Rombo hivi Beatrice angekua mwanao, huyo Tarimo angekua uraiani hadi sasa? IGP Wambura tafadhali shughulika na OCD Rombo na askari wake maana wanafanya jeshi la polisi litukanwe unnecesarily.!View attachment 2856184

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya upande mmoja.
Kisa hiki kinafanana kidogo na kisa cha mtangazaji wa IPP Media Ufoo Saro na aliyekuwa mzazi mwenzake.
Wanawake wa kichaga ni changamoto.
 
Kwakuwa wakati anakutongoza ulisumbua sana.
Unaposumbua wakati wa mtongozano mwanaume anadhani K yako ina maajabu mengi.
Baada ya kukula anagundua huna maajabu yoyote.
Anaanza kujutia gharama alizopoteza ili akupate.
Mwisho anajiona boya mbele yako, anasepa na kukuachia mawazo yaliyojaa maswali mengi kichwani kwako.View attachment 2856461
Mwanaume wake , wengine ndio anakuganda hivyoooo unajuta kwann umempa 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom