Haya bana ma braza kumbe hata hamtutetei sijapentaaa😃😃🙌🙌.Juzi nilikua nyumbani uchagani , niseme tu ukweli Wachagga tumenyimwa shep kwa upande wa dada zetu aiseee! Hadi aibu!
Jamani poleee, mpo vizuri bwana ndio maana mawe yanarushwa kwenu daily, ujue kwa nini! Mna kitu cha ziada kuliko wengine.Haya bana ma braza kumbe hata hamtutetei sijapentaaa.
Yaani hapo badoo😂😂Mpaka useme😀🏃♀️
Bado hujasema😀😀 yaani mpaka usemeeYaani hapo badoo😂😂
😂😂😂December 👐Bado hujasema😀😀 yaani mpaka usemee
Tena nakumbusha tu mshahara wa Dec ndiyo huo huo for Christmas and new year na ndiyo huo huo wa kulipa ada za shule za watoto, yaani mpaka msemee😀😀😂😂😂December 👐
Hapo kuukwepa huu mtihani ni ngumu😀 we date naye tu uenjoy maisha