Hii picha ilikua avatar mtu mmoja hapa jf sijui ninani tena.
Juzi nilikua nyumbani uchagani , niseme tu ukweli Wachagga tumenyimwa shep kwa upande wa dada zetu aiseee! Hadi aibu!
Wapare ni tatizo wallahi!
Ila dada zenu wamepewa akili za utafutaji na sura nzuri. Tunaambiwa kwamba ukitaka kuzaa watoto wazuri basi zaa na Mchaga! Kwa hiyo ikwesheni imebalansi!Juzi nilikua nyumbani uchagani , niseme tu ukweli Wachagga tumenyimwa shep kwa upande wa dada zetu aiseee! Hadi aibu!
Mwamba kala pozi na namba yake ya NIDA hana shida na mtu 😁