Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Kwenye sura na akili walao, lakini vijana wa siku hizi utawaamba nini wakuelewe akiwa flat! Hata akiwa na master degree na bilioni kadhaa kama ni flat vyote hivyo havionekani.Ila dada zenu wamepewa akili za utafutaji na sura nzuri. Tunaambiwa kwamba ukitaka kuzaa watoto wazuri basi zaa na Mchaga! Kwa hiyo ikwesheni imebalansi!