Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 3,991
- 10,405
Sawa😂 tutajua cha kufanya mshahara ukiishaa💔😂Tena nakumbusha tu mshahara wa Dec ndiyo huo huo for Christmas and new year na ndiyo huo huo wa kulipa ada za shule za watoto, yaani mpaka msemee😀😀

